Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Duh, nadhani ni kweli eeeh.iliyopo sasa ni maisha magumu kwa kila mtanzania.
mkuu nishamcheki jamaa anasema wameamua kutumia kazi ni kwako!!!yaani ni wewe tu!!mmmmh!hebu ngoja nijaribu kumbip JK ntarudi na jibu sasa hivi!!!!
hahahaaa, na mimi nilijiuliza sana maana ya hilo neno ni nini? hahaaaa kumbe ndio kauli mbiu yao eeh, sikujua bana.mkuu nishamcheki jamaa anasema wameamua kutumia kazi ni kwako!!!yaani ni wewe tu!!
mkuu nishamcheki jamaa anasema wameamua kutumia kazi ni kwako!!!
yaani ni wewe tu!!
Duh, kweli wamekaaa kimipasho mipasho Mpwa, yaani unasema baada ya jamaa kuanzisha Ari zaidi, Nguva zaidi na Kasi zaidi, ndiyo jamaa wakaamua kumjibu kuwa "kazi ni Kwako" ok , ok, well noted MpwaKazi ni kwako ni kaulimbiu ya ccm magamba (kundi la Lowassa) ili kuijibu ile
ya JK.
haaaa yaani kumbe ndo hivyo! au mnajaribu kuchemsha vichwa tuu! lakini ni kweli! KAZI NI KWAKO!Kazi ni kwako ni kaulimbiu ya ccm magamba (kundi la Lowassa) ili kuijibu ile
ya JK.
ahahahaaaa, asante sana nimefurahi kwa hiri ri-observation rako....hapo naona kama vile kwenye Avatar umejifunga kanga....waweza sema hio imeandikwaje???Mkuu kanga zipo na ujumbe "Tujivue magamba", Je UMELIONA GAMBA LANGU JE LAKO, nA Kama gamba kulivua raisi jaribu nawewe..
Ndo ujumbe unaopatikana kwenye kanga
Duh, kwahio Mpwa unataka useme kiranja mkuu aingie kwenye kitabu cha wavumbuzi duniani??...uvumbuzi siyo razima uvumbue ndege.. unaweza ukavumbua hata ri nanhiii weweee... Ri GAMBA! ...kazi ni kwako!
kwa kweli hata mimi sina jibu maana kaja nazo nyingi kiasi kwamba kama ni chama basi watakuwa na "ofisi" mahususi kwa ajili ya mambo na kazi hiyo peke yake ila kama ni yeye basi ni kama mjumbe alivyopendekeza kuwa aingie kwenye kitabu cha wavumbuzi...........Hivi kauli mbiu ndio ilikuwa sera ya Mzee au ndio ilikuwa ilani yake ya Uchaguzi au yalikuwa maneno ya kuadaa Panzi?!
Nakubaliana na wewe mia kwa mia....walivyoona kuwa kasi zaidi ndio kama ile wakaamua waifunge speed-governorKauli mbiu ya Kasi zaidi ilizikwa rasmi pale Magufuli alivyoonekana anakwenda kasi saidi kuliko bosi wake ...
ahahahaaaa, asante sana nimefurahi kwa hiri ri-observation rako....hapo naona kama vile kwenye Avatar umejifunga kanga....waweza sema hio imeandikwaje???