..SI unit..

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Hello great thinkers. Its my birthday. Karibuni home baadae kutakua na tafrija fupi. Vyakula vitakavyokuwepo ni kande kwa maharage na wali choroko. Vinywaji ni wanzuki, kangara, ulanzi, komon, mbege na keki ya pweza..
NB: Pia kutakuwa na Senene wa kutosha.
Let's cellebrate together!
 
HBD ndugu...mm iyo keki tu...maana nahisi kupungukiwa!
 
Nitafika,keki ya pweza aka busta usinimalizie.
 

H B D . Mungu akupe maisha marefu sana lakini kwa Imani yako usimsahau Muumba.
 
HBDY...........Hapo kwenye kitu wali choroko. cjui kama patakalika watu wakishiba!
 
 
Happy birthday! Hivi cake bado ipo?
 
Furaha na amani! Kumbushio sijaona kilevi cha Kongosho hapo!
Au hutaki aje mnusoni ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…