Si unajida unajua Kiswahili!!

Si unajida unajua Kiswahili!!

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
Jamaa mmoja alikuwa akiishi na mdogo wake na mama yake, pia wakawa na kambwa ambako jamaa alikapenda mno.

Siku moja akapata safari ya wiki moja, siku aliporudi tu kabla hajaingia ndani, mdogo wake akamuwahi;

DOGO: Kaka mbwa wako kafariki juzi......jamaa alisikitika sana, na zaidi hakupenda jinsi alivyopewa taarifa ya msiba huu

MJAMAA: We vipi unaona nilivyoshtuka, ilitakiwa jambo la msiba kama hili ungeanza kunambia, mbwa wako yuko juu
kwenye paa, halafu unanambia mbwa kadondoka toka kwenye paa, nakuwa nimejitayarisha kisaikolojia

DOGO: Sawa kaka ntajirekibisha

MJAMAA: Mama yuko wapi?

DOGO: Mama yuko juu kwenye paa

MJAMAA: Ehh!(akapoteza fahamu)
 
ha ha ha ha!mama kadondoka kutoka kwenye paa!
 
Jamaa kashindwa kujitayalisha kisaikolojia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom