Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,246
- 170,007
Eti! anakaaje nyumba haina TV?
Hapo chacha sijui anaangalia buibui ukutani
Eti! anakaaje nyumba haina TV?
Sister nimerudi........hapa kazi tuuuu..... Nimekumiso kweli kwelikiukweli hata kama siyo mimi ila huu ujumbe unanihusu tena kabisa
sawa mkuuKitu chenye vuto huwa hakidumu ila chenye vision huwa kinadumu.
mimi pia nimekumiss ... life inaendaje lakin?Sister nimerudi........hapa kazi tuuuu..... Nimekumiso kweli kweli
Life linaenda nyema sana as tunakaribia mwisho wa mwaka lazima tuwe na maandalizi ya kuwasilisha hesabu home.... Nategemea unafanyiwa hivyo pia if no gangamalamimi pia nimekumiss ... life inaendaje lakin?
kiukweli hata kama siyo mimi ila huu ujumbe unanihusu tena kabisa
mi huko naogopa aisee kujaJamani wewe.
Ebu ni PM kwanza....
lazima niripoti kule yani hapa kiu ya mbege imenikaa kooni nahesabu siku tu hapaLife linaenda nyema sana as tunakaribia mwisho wa mwaka lazima tuwe na maandalizi ya kuwasilisha hesabu home.... Nategemea unafanyiwa hivyo pia if no gangamala
Jamani, ebu njoo buana nataka nikuimbie ule wimbo wa wakubwa, ni hivyo tu basi.mi huko naogopa aisee kuja
naomba ukiwa unaimba unipe na pesa ,, kama umekubali nakujaJamani, ebu njoo buana nataka nikuimbie ule wimbo wa wakubwa, ni hivyo tu basi.
Baaaasi tutasabahiana njiani maana lazima kieleweke tamaduni lazima zienziwe...Wameshaanda na vishushio vya mbege maana wageni wanatukubali sana hapo... Good zaidi ni kama sherehe ya wotelazima niripoti kule yani hapa kiu ya mbege imenikaa kooni nahesabu siku tu hapa
kuna kaukweli,ila television inaweza kukufanya ukawa na vision kwa kuangalia watu wenye vision kwenye television