Si umenikataa? Utaisoma kimyakimya

Si umenikataa? Utaisoma kimyakimya

Wrong target..... Vp kama unayetaka apate ujumbe hatopita mitaa hiiii??????????
 
ila television ina mvuto kuliko vision,, ngoja nifanyie kazi huu ujumbe
 
Ha ha ha vp mkuu mbona huyoo hata hajui kama kuna Jamiiforum?
 
kuna kaukweli,ila television inaweza kukufanya ukawa na vision kwa kuangalia watu wenye vision kwenye television
 
A Woman Who Rejects A Man With Vision And Follows A Man With Television Will Soon Be Watching A man With Vision On Her Husband"s Television
Wanawake wanapenda vinavyoonekana kwa macho hawana muda wa kufatilia unawaza au una maono gani ya kimaisha.
 
You shoulda had a vision of her in your life, before you made her your mission, son. Just move on.
 
Wanawake wanapenda vinavyoonekana kwa macho hawana muda wa kufatilia unawaza au una maono gani ya kimaisha.

Halafu kesho eti ooh mbona hata salamu,....hatujagombana...,

kugombana mpaka tutoane ngeu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom