Si tulisema hatutaunda tume ama kufanya michakato?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
20,315
38,454
Wakati Serikali ya Awamu ya Tano (Sijui maana ya awamu ni nini) inaingia madarakani, Rais Magufuli alisema kwamba kwenye utawala wake hakutakuwa na mambo ya kuunda tume kuchunguza uhalifu ama kutoa majibu kwamba "Mchakato" unaendelea. Lakini naona kama vile utawala huu umeanza kuunda tume na majibu kwamba kuna "Mchakato" unaendelea yameanza kutolewa. Imekuaje tumeacha njia tuliyoichagua kuipita?
 
Hawa watu hata huwa wanakumbuka basi!
Wamebaki kushangilia kila anachosema yohana
 
Back
Top Bottom