Si tbc 1 wanao kosea hata hawa wanakosea...

Si tbc 1 wanao kosea hata hawa wanakosea...

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
wawili.jpg zawadi.jpeg
Matatizo ya ufundi haya...... zawadi.jpeg
 
Kwani 'hawa' ni nani kama sio hao hao?
 
Angalia picha ujaelewa wapi na uku ni jukwaa la picha na wala si habari usichanganye mambo.
Kubali kuwa ume'edit baada ya kugundua kuwa hukusomeka...ni ujasiri kukubali makosa!
 
angalia vizuri hilo bango lililoandikwa DEPUTY then endelea neno linalofuata
 
Kwa hiyo kwa sababu wao wanakosea, basi sisi kukosea ni sawa..??
sio ivyo tatizo watu wanaona kama ni kosa kubwa sana tbc kukosea ndo maana nikaleta hii kitu na zote zimetokea jana kukosea ni kawaida tu mkuu.
 
Mi naona kama vile kuna kamchezo kamechezwa kwenye hizi picha, maana naona hata hizo PP kwenye PPESIDENT ziko tofauti na P za kwenye DEPUTY na REPUBLIC, angalieni vizuri mtaona PP hazina kichogo na zile nyingine zina kichogo! Hivyo aliekosea ni aliechakachua picha wali sio waliotengeneza hiyo ngao!
 
Back
Top Bottom