MANGI MASTA
Senior Member
- Jul 14, 2011
- 175
- 56
Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa airtime mwislamu aliyekeamatwa ikulu kutamka yale maneno ambayo ni wazi yanahamisha hata wale ambao walikuwa wameamua kutulia majumbani kuingia mtaani kutetea kile wanachokiamini.
Kwa wakati huu vyombo vyetu vya habari vyapaswa kuwa makini sana.katika Agenda Setting na Framinig la sivyo tutabaki kuangalia biashara huku amani tunaipoteza.Ni ushauri