Funga gunzi la mahindi tehe tehe niliona kwa bibi hiyo ila nikakosa muda wa kuchunguza kama kweli inafanya kazi hiyo science ya bibi.KWELI MAISHA YA WABONGO KAMA VIDEO.
Umenikumbusha mbali sana....
Funga gunzi la mahindi tehe tehe niliona kwa bibi hiyo ila nikakosa muda wa kuchunguza kama kweli inafanya kazi hiyo science ya bibi.KWELI MAISHA YA WABONGO KAMA VIDEO.
mbona hamna chakuchekesha hapo juu una ugonjwa wewe sio burenmechek san wakuu duu jf kcma cha burdan