CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Ngozi nyeusi si laana, tatizo ni lile tuliachwa nyuma na we are doing nothing kucatch up.. societies zetu zimegawanywa, kuamini ujinga ujinga uchawi, yani waafrika kwa ujumla hua wananiacha hoi sana walivo wavivu! LOL, mtu life gumu na kusoma hataki, akienda shule akitoka kamaiza bag pembeni na nyumbani baba namama hawaulizi kwa nini mtoto ni tv usiku mzima.. wazazi wenyewe nao ngoma ileile hawakuaoma kuexpect wajue elimu ilivo ngumu na muhimu kiasi kwamba muda mwingine inahitaji forcing hawajui... South korea waliachwa nyuma ila ndani ya miaka michache wamejitransform kwa sababu ya elimu, wanakaba watoto wale jamaa si utani, kunawalimu wanapiga hadi bilioni kadhaa kila mwaka sababu ya kufundisha uone watu walivo serious na elimu
Sasa tatizo letu ni lipi ? are we genetically ill fated!