Si mmepinga viboko shuleni

Si mmepinga viboko shuleni

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Haya sasa ni stail ya miguu juu, dah ualimu bhana😀
 
Attachments

  • 1420913055666.jpg
    1420913055666.jpg
    24.9 KB · Views: 1,258
African stupidity, pamoja naviboko na adhabu za kijinga still hamna nidhamu wala hamna maendeleo kielimu, wanaograduate asilimia kubwa vichwa vibovu hamna wanachojua hata hesabu ndogo zinapiga chenga. Hahaha yani ukiona hivo jua sytem nzima ni mbovu tunachofanya tunakosea.. I feel sorry for the black man!! tutaendelea kuwa wajinga hadi lini
 
Hadi tutakapo kuwa wajanja ndio utakuwa mwisho wa ujinga wetu..
 
African stupidity, pamoja naviboko na adhabu za kijinga still hamna nidhamu wala hamna maendeleo kielimu, wanaograduate asilimia kubwa vichwa vibovu hamna wanachojua hata hesabu ndogo zinapiga chenga. Hahaha yani ukiona hivo jua sytem nzima ni mbovu tunachofanya tunakosea.. I feel sorry for the black man!! tutaendelea kuwa wajinga hadi lini

Ngozi nyeusi imelaaniwa mpaka huyo "Mungu" aiangamize aumbe upya! (kama uumbaji upo anyaway!). Ngozi nyeusi narudia ni laana
 
Kumbe kiburi nacho ni sifa ya kujivunia?!

Kua na kiburi peke yake hakusaidii, nilisoma na wenye viburi na adhabu za kijinga walizikubali ili kudhihirisha ununda wao. Mtoto akijielewa hawezi kukubali adhabu zisizo na mipaka.UELEWA NA UJASIRI.
 
Ngozi nyeusi imelaaniwa mpaka huyo "Mungu" aiangamize aumbe upya! (kama uumbaji upo anyaway!). Ngozi nyeusi narudia ni laana

Ngozi nyeusi si laana, tatizo ni lile tuliachwa nyuma na we are doing nothing kucatch up.. societies zetu zimegawanywa, kuamini ujinga ujinga uchawi, yani waafrika kwa ujumla hua wananiacha hoi sana walivo wavivu! LOL, mtu life gumu na kusoma hataki, akienda shule akitoka kamaiza bag pembeni na nyumbani baba namama hawaulizi kwa nini mtoto ni tv usiku mzima.. wazazi wenyewe nao ngoma ileile hawakuaoma kuexpect wajue elimu ilivo ngumu na muhimu kiasi kwamba muda mwingine inahitaji forcing hawajui... South korea waliachwa nyuma ila ndani ya miaka michache wamejitransform kwa sababu ya elimu, wanakaba watoto wale jamaa si utani, kunawalimu wanapiga hadi bilioni kadhaa kila mwaka sababu ya kufundisha uone watu walivo serious na elimu
 
Back
Top Bottom