Si mchezo

Huyu mbona Cha mtoto..

Wakati tupo mafundisho ya komunio ya kwanza kulikuwa sister jeniroza..sister hatareee ..akitembea wavulana walikuwa wanaimba singida dodoma alafu kasauti kadogo..akicheka hizo dimpo Sasa..ila alikuwa anafinya Sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ulisoma wapi mkuu, nataka nikaanze mafundisho ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…