Si Marekani wala Urusi wala China

Mkuu unajidanganya, kuwa na tech siyo kuwa hela inapungua kwenye kutengeneza ndege zako kuna kufanya research, ni lazma uwe na uchumi unao eleweka israel nchi ndogo sana
 
The most technological country in ze world is Japan....na waliona mbali kuiwekea vikwazo vya kujiendeleza kijeshi otherwse angekuja kufanya revenge isiyo tarajiwa duniani.
 
Hizi story za kijiweni ngoja nitoke job niisome vizuri hii
 
Kwa kuwa una uhakika na ukisemacho, tunaomba data zilizokamilika kuthibitisha hoja yako
 
umesemema,lakini na uasili wao(sema kidogo,please tuambie kwa uasili wao(race/jamii)
 
Mimi nafikiri tungejiuliza kwanza kwanini waisrael wamechagua lugha tatu za taifa ambazo ni kiebrania,kiarabu na kirussia. Kwanin isiwe kienglish na kiebrania?
 
Kaka Marekani anamuhitaji Israel sio sababu ya technology ila kwa sababu ya kuweza ku control middle east tu. Hakuna kingine.
 
Toa ushahidi khs hilo
 
Kaka Marekani anamuhitaji Israel sio sababu ya technology ila kwa sababu ya kuweza ku control middle east tu. Hakuna kingine.
Huu ndiyo ukweli kabisa.
Israel anamaaidia Marekani kucontrol middle East na ndiyo maana ni mshirika wake mkubwa na yuko tayari kumwaga fedha na silaha kwa Israel kutimiza hilo.
 
Hezbolla ndio muarobaini wa israel
Huyu Hezbola ni nani? Ni nchi gani pale masahariki ya kati. Kila nikiangalia ramani mimi sioni Nchi inaitwa Hezbola. Isije ikawa ni kikundi cha kigaidi kama ilivyo Boko Haram, Al-Shabab, ISIS na wengineo. Tusije tukawa tunakuja huku kwenye platform ya great thinkers na mawazo ya kishabiki tu kuonesha jinsi tulivyo na ubongo mdogo.
 
Kaka Marekani anamuhitaji Israel sio sababu ya technology ila kwa sababu ya kuweza ku control middle east tu. Hakuna kingine.
Mkuu bado unarudia mule mule, pale Israel technologia ya ulinzi iliyopo pale siyo ya kawaida ndiyo inayo wawezesha kuwa safe, ndiyo maana nikasema hamna nchi yenye techn za juu kama Israel, kama isingekuwa hivyo, Wapalestina&co ungekuta walisha ifuta Israel
 
Porojo Za maskani.
 
Sio kweli kabisa yaani mmmhh.. Israel is American Base ktk Mashariki ya Kati silaha zote anazo tumia ni made USA
 
israel ni kambi ya jeshi la marekani iliyoko uarabuni .

Angelia hapa ISRAEL ikipewa msaada wa kijeshi dola za kimarekani bilioni 38 kutoka MAREKANI

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…