Si lazima uamini hii

Si lazima uamini hii

Mkuu uko vyema sana maktaba yako imenona aisee picha zinanogesha uzi kinyama

[emoji41][emoji41]
 
Mkuu umewahi kuishi na mwanamke aliekuzidi hela/elimu?

Wanawake wenye hela nyingi au elimu kubwa huwa hawana tofauti sana na wanawake warembo au wenye makalio makubwa. Hua wanaona kwamba kwavile wana hela/uzuri, basi hawahitaji kunyenyekea wala kua wasikivu. Hua wanajenga kiburi cha kuona kwamba wao hawana shida na ndio maana mara nyingi sana hua wanaishia kuwa single.
Hawa ni hatari na hawafai maana atakuendesha mpka utachanganyikiwa.
 
Wanaume wengi "wa kiume" wanawaogopa wanawake wenye akili kuwazidi au waliowazidi kipato.

Ndo maana kila siku unaskia wanaume wanalalama kwamba mwanamke akikuzidi elimu au kipato anakua jeuri sana.

Si kweli kwamba wanakua jeuri kwasababu hiyo. Jeuri ni tabia ya mtu aliyotoka nayo utotoni kwake (lakin unaweza kumsaidia kui-neutralize ukubwani pia).

Mara nyingi kinachotokea ni kwamba wanaume wengi wanaamini wao ndo wanapaswa kuwa juu ya wanawake kwa kila kitu..

kwahiyo ile tu fikra ya kwamba amezidiwa kielimu au kifedha na mwanamke wake inamtia hofu na kumfanya ajihisi inferior... na hii inferiority complex ndo inamfanya muda wote ahisi kwamba anadharauliwa au anapelekeshwa na mwanamke wake.

Na kwakua ni tabia ya mwanadamu kutafuta justification hata pasipostahili ili tu ajiskie vizuri, basi mwanaume anaishia kusema "huyu mwanamke ananidharau kwasababu amenizidi kielimu au kifedha".

Of course wapo wanaume wanaopelekeshwa na wanawake wao, na SIO kwasababu wamezidiwa elimu au kipato.. ni kwasababu mwanaume huyu alikosea aidha mwanzoni kabisa mwa mahusiano yake au somewhere along the way, akampa mwanamke wake nafasi ya kuwa Adam na yeye (mwanaume) akachukua nafasi ya Hawa! Na hapa sizungumzii pesa wala elimu.
View attachment 1102921
Kasoro mimi tu mkuu mi ni kuwamenya na kusepa ata kama una mali au elimu Nothing to me
 
Wanamke wasomi wengi wao wana amini hawana Cha kupoteza halafu wanaingia kwenye mahusiano Guess what wanapoteza mahusiano..
Kwenye kuoa unahitaji mwanamke humble na asiye much know ukikua utanielewa vizuri.Husomi wa mwanamke Ni factor ndogo Sana .Tunahitaji mwanamke muelewa sio mshindani sababu sisi wanaume unanikajaga nakwambia tunayamaliza,tukibishana wenyewe kwa wenyewe dk.5tu tunapigana..sasa nani anatakuwa na mwanamke wa kubishana kila siku.

Umesema tuna ogopa sababu wapo juu mbona tunawat*mba sana tu?hapa nina mchepuko ana masters,simuoi namt*mba tu nikitaka.
Dogo fika Basi hata chuo uone kwanini watu hawana amani na wanawake wasomi hahahaha hivi hizi mentality za sitakuja kuoa unadhani wanaume wanazipata wapi km si chuo.
Mtu anaenda chuo vzr akirudi mtaani Ana kwambia usipeleke mwanamke chuo Mara mi sioi?hivi unajua kwanini wasomi ndo waoga wakuoa kuliko watu wasio na elimu?
Ogopa sana mtu mwenye uwezo wa kufikiri.Ukiwa na uwezo wakufikiri kuna vitu vingi unaviangalia kwa machale Sana kuanzia mahusiano ya urafiki hadi ya kimapenzi..

Adui ya mwanaume namba moja Ni stress.Asilimia kubwa tunafanya maamuzi kukwepa stress.Ofcourse kuna case chache za wasomi wanaojielewa lakini niamini mimi wazee wa zamani walikuwa na akili kumnyima mwanamke elimu, Niamini mimi kwa Hilo ila km mbishi nenda hata social networking km ista angalia wanawake tuliwasomesha wanavyorusha matako hovyo, kapime ustaarabu wa wanaume na wanawake kule niambie na mama zetu walionyimwa elimu hahahahaha wapi afadhali.Jamii ilikuwa na wanaume vichaa kuliko wanawake ndo Mana jamii ilikuwa salama salimini,sasa saivi jamii ina wanawake vichaa kuliko wanaume na ndo tunasema jamii imeanza kuelimika..Tunaelekea fifty fifty lkn cheki kizazi cha watoto wetu wanaosomeshwa na mama wasomi!tulitarajia tutakuwa na kizazi bora sanaaa kipindi hiki kuliko miaka 20 nyuma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umenena vyema sana, binafsi sina cha kuongezea Chifu[emoji1][emoji119]
 
Fact
Exactly?
Mfano mdogo humu JF ukiona mwanaulmke anajifanya kuvimbisha koo mbele ya mwanaume ujue kakata tamaa na anataka kuwashawishi wanawake wengine wawe na mtazamo kama wake

Mdogo wangu ngoja nikupe siri yetu sisi wanaume, sisi upendo tunautafsiri kwa namna tofauti kabisa, mwanamke mnyenyekevu na mtii ndiyo mwanaume husema ana mapenzi ya dhati zaidi

Akili na fikra za mwanaume hazipendi ushindani hasa wa hovyo hovyo ndio maana ukiona wanaume wakigombana basi itawachukuwa punde tu kurekebisha tofauti zao. Mwanamke mwenye dhamana hupenda kuufichua uwepo wake na hili suala ni sumu kwa wanaume
Jiulize kwanini wanawake wasio wasomi hufurahia sana ndoa zao kuliko wasomi, kwa kuwa sio watu wa kuhojihoji hovyo, waache hao wanaojiita wasomi na matanabari wake waendelee dildo ndoa watazisikia kwenye kwenye vipindi vya chereko tu
 
m
Wanamke wasomi wengi wao wana amini hawana Cha kupoteza halafu wanaingia kwenye mahusiano Guess what wanapoteza mahusiano..
Kwenye kuoa unahitaji mwanamke humble na asiye much know ukikua utanielewa vizuri.Husomi wa mwanamke Ni factor ndogo Sana .Tunahitaji mwanamke muelewa sio mshindani sababu sisi wanaume unanikajaga nakwambia tunayamaliza,tukibishana wenyewe kwa wenyewe dk.5tu tunapigana..sasa nani anatakuwa na mwanamke wa kubishana kila siku.

Umesema tuna ogopa sababu wapo juu mbona tunawat*mba sana tu?hapa nina mchepuko ana masters,simuoi namt*mba tu nikitaka.
Dogo fika Basi hata chuo uone kwanini watu hawana amani na wanawake wasomi hahahaha hivi hizi mentality za sitakuja kuoa unadhani wanaume wanazipata wapi km si chuo.
Mtu anaenda chuo vzr akirudi mtaani Ana kwambia usipeleke mwanamke chuo Mara mi sioi?hivi unajua kwanini wasomi ndo waoga wakuoa kuliko watu wasio na elimu?
Ogopa sana mtu mwenye uwezo wa kufikiri.Ukiwa na uwezo wakufikiri kuna vitu vingi unaviangalia kwa machale Sana kuanzia mahusiano ya urafiki hadi ya kimapenzi..

Adui ya mwanaume namba moja Ni stress.Asilimia kubwa tunafanya maamuzi kukwepa stress.Ofcourse kuna case chache za wasomi wanaojielewa lakini niamini mimi wazee wa zamani walikuwa na akili kumnyima mwanamke elimu, Niamini mimi kwa Hilo ila km mbishi nenda hata social networking km ista angalia wanawake tuliwasomesha wanavyorusha matako hovyo, kapime ustaarabu wa wanaume na wanawake kule niambie na mama zetu walionyimwa elimu hahahahaha wapi afadhali.Jamii ilikuwa na wanaume vichaa kuliko wanawake ndo Mana jamii ilikuwa salama salimini,sasa saivi jamii ina wanawake vichaa kuliko wanaume na ndo tunasema jamii imeanza kuelimika..Tunaelekea fifty fifty lkn cheki kizazi cha watoto wetu wanaosomeshwa na mama wasomi!tulitarajia tutakuwa na kizazi bora sanaaa kipindi hiki kuliko miaka 20 nyuma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu ntafanyaje ninyofoe haka kakipengele cz kuna jamaa nataka nimtumie kama kalivyoo😂😂😂
 
Back
Top Bottom