Si lazima mtungโ€™ate jamani

Aunt naomba usiku wa kuamkia trh 29 usilete uzi Kuna wengine followers wako kama Mimi na dosho12 utatutoa kwenye reli ya kwenda kuikomboa nchi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sawa, siku hiyo nitakua nawa live stream mnavyokula virungu vya magoti mpaka mshindwe kulomba mwezi mzima ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Acha mambo yako wewe kulomba ni suala jengine
Wanipige kote waniachie macho na mashine ya kulombea tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapo itabidi uchague moja, ukishapigwa miguu hiyo ushindwe kusimama huku umebaki unamuona mpenzi na jicho moja ndiyo utajua haujui ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…
 
VIjana wa kihuni ndio nyie
 
Una haribu kila kitu sasa jirani, tunza nguvu zako mpk tareh30
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kwani tulishakubaliana vitendea kazi tutavyobeba, ikiwepo viongeza nguvu, maana hakuna kurudi hadi nchi tutapokuwa tume wanyanganya wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ