Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
We'll, km kawaida ktk Tanzania lazima tupate shida kuweka record sawa baada ya tafiti za ajabu kutokea nchi ya maajabu Tanzania.
Kwanza watz wenye tv bado ni wachache, achilia mbali.ving'amuzi wengi hupata nafasi hiyo kwa kuangalia za watu. Kwenye maduka ya tv, kwenye mabenki, office za serikali , restaurant etc. Na huko wanakuwa wanapata huduma.
Sababu za kutofanya kazi haina uzito sana. Wana angalia tv wapo kazini na muda huo haya wasipoangalia haiongezi utendaji ktk uzalishaji. Wa uza tv, na biashara nyingine km nguo , magazeti etc wapo kazini.
Maeneo ya huduma yenye foleni km bank, maji, Tanesco, manispaa na office nyingi za serikali. Huwa wekwa watu masaa mengi sana na huo muda ndio hutumika kuangalia tv.
Usiku hata wenye tv hawana huo muda, kwaniwatu kufika wamechoka kuangalia tv
muda huo ni kuharibu siku ya kesho kazini.
Usiku sio mzuri sana kuwasha tv , kwani nyumba nyingi mjini zina watu kupindukia na kuwasha tv ni issue kwa wengi. Kwani kuna watakaokwazika.
Pia umeme nao ni kichomi kwa wengi hadi leo hii.
Hayo ni baadhi tuu ya mambo yanayoonyesha mapungufu ya tafiti zetu kwamba watu wengi wana angalia tv usiku au kuonyesha usiku kuna ongeza uzalishaji.