Dah kumbeTafuta hela bajaji sio usafiri 😂😂😅😅😅
Ungempa hela umwambie dada hizo nywele zimechakaa chukua hii 30,000 kasuke nyingine.Nimeshindwa kumwambia Mkuu ningeanzaje.
Ana fangus za kichwani huyo - huo ni ugonjwa.Habari wana JF.
Leo nikiwa kwenye harakati zangu hapa mjini Dar es salaam nimepanda bajaji Kariakoo to Msasani. Ndani ya bajaji nilikaa na Mdada mmoja mzuri Sana lakini shida nywele(Rasta) zinatoa harufu mbaya sana aise nimepata tabu sana wakuu zinanuka ile mbaya.
Nyie wanawake mjitahidi kubadirisha nywele(Rasta) zenu au suka hata kawaida Kama hauna pesa Kwa wakati huo.
Wakuu tujitahidi usafi wanawake Kwa wanaume ni noma public uwe unatoa harufu mbaya.
Hata harufu ya kikwapa kinatia genye saana.Hy harufu ndo inatia genye wakati wa kuzagamuana