Si kwa mapenzi haya

Taratibu... unaweza ukajing'ata halafu ukajikuta unaghairisha safari ya Tabora hehee.
Ahahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kiasali baaaana umenichekesha sana daaaaaah! safari ni kuomba uzima tu Kasie kiasali
 
Ahahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kiasali baaaana umenichekesha sana daaaaaah! safari ni kuomba uzima tu Kasie kiasali

Amina, panapo majaaliwa uzima na afya safari itakuwepo vyema tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…