Si kwa mapenzi haya

Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota karina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
Aiseeh siku1 nilirudi nmechoka nikaacha kamguu kachafu nikapumzika ndani,mida ya jioni natoka wife yupo anaosha nilijisikia vibaya sana japo sikumwambia nikasema tu pole na kazi na asanteh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…