Si kubwa ila

Naomba pambano


Mmmh weewee mpambano wangu balaa, huwa natoa watu NC yaani no count au KO knock out. Jiandae na mazoezi ya kutosha, mpambano wa Kasie si wa kitoto.
 

Hahahahaaa...kiongozi naona ushavuta hisia hadi basi. Usije kimbilia bafuni tu mchana huu..!
 
Hahahaa polee kwani bado uko kanisani? Mi niko home nje nashangaa jua limezungukwwa na mduara wa upinde wa mvua.

Jamani jumapili yote hii...lol
Mnatupa genye balaa huku..!
 

mmmmm???????
 
Mmmh weewee mpambano wangu balaa, huwa natoa watu NC yaani no count au KO knock out. Jiandae na mazoezi ya kutosha, mpambano wa Kasie si wa kitoto.

ha ha ha
nipigie...kasiii nipigie
 
We mtoto umeshindikana.... next tme ntakutia na bakora ya makalioni mwako.....
 
Tangu hapo najua wewe ni sukari ya warembo wa JF, mie na zawadi mbali mbali hapo hata hujanisononesha. Ukiniambia nashikilia pasi yako ya kusafiria usitoke nje ya mipaka ya TZ, ntakuja hata kukuramba miguu unirudishie, nnavopenda vacation kuliko hata chocolate...fyuuuu Sea Shells this tyme.
hehehe!!! nitawapa wengine wote lakini si wewe kasie
 
We mtoto umeshindikana.... next tme ntakutia na bakora ya makalioni mwako.....
Hahahahaaa babu Asprin bana, hivi kwanza mzee mwenzio babu Dark City yuko wapi?
Mie nlishashindikanika tangu home, mata** yameota sugu kwa kucharazwa bakora. Naionea huruma bakora yako maana najua itajeruhiwa na ma**ko ya Kasie....
 
Last edited by a moderator:

Hahaha!!! Kasie kipenzi una maneno weye loh!!

Miye nilimaanisha weye wapaswapewa zawadi za 14 Februari hizi za Xmas waachie watoto atii...

Halafu huko wataka enda ni kama paradise...sijui kama utatamani kurudi Umatumbini huku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…