Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Jan 29, 2010 #1 Wakazi wa Banana Kata ya Kipawa wakiangalia mtaro mkubwa uliochimbwa na mfanyabiashara wa eneo hilo na kuzuia magari yanayoegeshwa kituoni hapo.
Wakazi wa Banana Kata ya Kipawa wakiangalia mtaro mkubwa uliochimbwa na mfanyabiashara wa eneo hilo na kuzuia magari yanayoegeshwa kituoni hapo.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Jan 29, 2010 #2 na watu wanavyoamua kufanya mambo bila plan nchi iko mtelemko sana hii
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Feb 1, 2010 #3 hiyo inaweza leta maafa kwa raia wema....miguu kwachuu...
Sinkala JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 1,773 Reaction score 688 Feb 1, 2010 #4 Sijaelewa. Naomba relation ya Kipawa na huo mtaro wa Banana