Si Kipawa tu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Si Kipawa tu...

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bujibuji, Jan 29, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,416
  Likes Received: 22,303
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Wakazi wa Banana Kata ya Kipawa wakiangalia mtaro mkubwa uliochimbwa na mfanyabiashara wa eneo hilo na kuzuia magari yanayoegeshwa kituoni hapo.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  na watu wanavyoamua kufanya mambo bila plan
  nchi iko mtelemko sana hii
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hiyo inaweza leta maafa kwa raia wema....miguu kwachuu...
   
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sijaelewa. Naomba relation ya Kipawa na huo mtaro wa Banana
   
Loading...