Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,199
- 10,834
nadhani neno "Mshamba" ni Neno lisilo na tafsiri ~yenye kueleweka~Nazungumzia uelewa wa mambo kiujumla.
nadhani neno "Mshamba" ni Neno lisilo na tafsiri ~yenye kueleweka~Nazungumzia uelewa wa mambo kiujumla.
Dah! Mafwele tena mkuu?Huyo mtu sio mafwele kweli ?
Mafwele hawezi kuwa mtaalamu Kwa vyovyote vileHuyo mtu sio mafwele kweli ?
Huyo ni mtaalamu wa kung'oa kucha na kumwagia watu tindikali.Mafwele hawezi kuwa mtaalamu Kwa vyovyote vile
Huyo ni mtaalam wa kuteka mkuuMafwele hawezi kuwa mtaalamu Kwa vyovyote vile
Huo ni uhalifu na siyo utaalamuHuyo ni mtaalam wa kuteka mkuu
Kuna watu hawapendi tu kujulikana wao ni smart hivo hupendelea kuishi kishamba(kama hawajui mambo vile)Ushamba siyo kabisa haitakiwi iwe lifestyle hata kidogo, lakini pia usijidai mjanja sana balance nusu kwa nusu
Kumbuka Kuna watu unawaona washamba ila wana uelewa mkubwa wa viungo vyao vya mwili hasa sehemu za Siri.Binafsi ushamba nautafsiri kama uelewa mdogo wa mambo.
Basi kila mtu ni mshamba maana hakuna mtu mwenye uelewa mkubwa wa kila jambo.Binafsi ushamba nautafsiri kama uelewa mdogo wa mambo.
Mshauri jamaa ajikite kuendeleza ujuzi wake wa IT, Kuna siku utamlipa vizuri sana..Sahihi kabisa. Hapa ni nilipo kuna mlinzi mwenzangu nafanya naye kazi! Aisee ukimkuta yupo yupo tu. Comedian sana! Rafu rafu tu! Mwonekano wake ni kama ule wa Bongo muvi wanaoigiza maisha ya kijijini!
Ila ukija sasa kwenye masuala ya IT; jamaa yuko vizuri sana. Yaani mpaka wale jamaa wanaokaa maofisini na matumbo yao makubwa huwa wanakuja kumuomba msaada wa kubadilishiwa window kwenye PC zao na huyu mwamba! Hatari sana.
Hilo ndilo Jambo la msingi kuna baadhi ya watu wa kanda Fulani hujiona wanajua Sana ili Hali ni weupe kabisaTujuze kwanza maana halisi ya Ushamba na Mshamba, then turudi kwenye bandiko lako tumuangalie mfadhili wako.
Sikumaanisha uelewa wa kila jambo bt uelewa wa mambo mengi.Basi kila mtu ni mshamba maana hakuna mtu mwenye uelewa mkubwa wa kila jambo.
Hao ni washamba wa kidijitaliVijana wa 2000+ wanaamini ujanja ni kuchana suruali kwenye magoti, kunyoa kiduku na kutembea kama mtu aliyechomwa na mwiba na ndo hao hao ambao ukiwauliza mji mkuu wa kenye ni wapi wanakauka lips. Kulikuwa na kijana mmoja alikuwa anevaa jeans iliyochanika magotini, ananyoa kiduku halafu anajiona mjanja sana, Sasa Kuna siku tulikuwa tunaangalia laliga akawa anashindwa kutamka vizuri real Madrid akawa anasema "real magrid" mara siku nyingine akasema sei toto badala ya fei toto. Haya niambieni ujanja wa huyu dogo uko wapi, utopolo matupu.
Ujanja wa aina hiyo mwisho wake hua mbayaHii nchi mtu tapeli mwizi mpenda uchi ndio huonekana mjanja...
Bahati nzuri tuliukemea ushoga mapema la sivyo Kuna baadhi ya wangepigwa miti ya nyuma na wangechukulia kupigwa hiyo miti kama ujanja.Hii nchi mtu tapeli mwizi mpenda uchi ndio huonekana mjanja...