hakuna amani kwenye kuachana
inauma zaidi mtu anakupa sababu na unaona ni uongo mtupu kutoka kwenye macho yake, kwanza hata hakuangalii.... ukisema ukweli hata mwili wako unaonyesha uko honest hata kama umeniumiza atleast nitajua umenithamini umesema kweli..... aisee mie huwa napata hasira nikidanganywa, sijui mwenzangu??