si kila ane break up na wewe hakupendi katika uhusiano!!

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,043
Sio kila anayebreak up na wewe hakupendi,Ni mkatili,Hajali,Ni player,hana shukrani,au amekutumia kama brashi ya Kiwi halafu anakuacha na dawa nyeusi na kukusokomeza chini ya kitanda
Wengine wanaomba Break Up baada ya kujitathmini na kugundua kwamba wewe,ur too good for them na hawastahili hata kidogo kukumiliki,wanaacha mwenye stahili akupate.Sasa wengine wakiachwa wanaanza shombo,Mwanaume atakuwa Yule,Janaume halina shukrani nimelivumilia tangu liko Kapuku hadi leo linajua hata kuweka panga kwenye suruali!
Kama nimegundua una penzi 100% kwangu na mimi nna 20% kwako nifanyeje?80% yote nakunyonya wewe,nakuwa kama kupe,naamua kuwa mkweli kwa nafsi yangu tu,kwanini nikudanganye na kukupotezea muda nije nikudissapoint baadae wakati nimeshajua mapema,naamua kmuachia mwenye 100/100 aje akupe unachostahili
Je,kuna kosa hapo hadi muanze kubweka kama mbwa koko wa mjumbe kisa umetiwa konzi??
 
That's it,, katika kitu kikubwa nilichofanya maishani mpaka leo hakijafutika ni break up na mdada baada ya kugundua hakuwai kufanya mapenzi before.. Wenyewe mnaita bikra.. Yule mdada hakunielewa ilikuwa ni uadui mpaka kesho..

But sababu kubwa ni nafsi ilinisuta kabisa kuendelea na yule mdada sababu alikuwa ananipenda 100 parcent wakati mimi nina 20 parcent.. Na nilipoona anapoelekea sipo nami sipo tayari kuutwaa uwanawari wake wakati najua kabisa nitamzungua.. Ilikuwa enzi za utoto but mpaka leo kumbu kumbu ikinijia naona nilikuwa gentleman wa hali ya juu that time kwake..

Popote alipo I wish her goodluck in her life...
 
aisee mkuu una moyo wa ajabu wa kishujaa si ungeonja tu!!
 
Hilo nalo neno, kuingia kwenye mahusiano ambayo unajua hauko 100% ni kosa ila kuendelea kumtesa mtu ni kosa kubwa, cha kushanganza na ninajiuliza sana hivi kwa nini hamtoagi sababu za ukweli? nahisi kama ukiwa honest mtaachana kwa amani zaidi.
 
Labda nikujib kidogo tu kama alianza kwa kukudanganya ataishia hvyohvyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
That's the fact mkuu,nami recently nimeomba a break na mwanadada mmoja wa chuo(UD) ila cha ajabu ameanza kuniletea maneno ya ajabuajabu,kwani kuna ubaya kuomba ku-break up na mtu?
 
Tena mimi ukiniambia nitashukuru sana kuliko kuanza shutuma mbalimbali hata za fumanizi wengine huzitumia ili mradi apate sababu.
 
That's the fact mkuu,nami recently nimeomba a break na mwanadada mmoja wa chuo(UD) ila cha ajabu ameanza kuniletea maneno ya ajabuajabu,kwani kuna ubaya kuomba ku-break up na mtu?
Yah inafika point sio lazima uwe nae whether for your or her advantage

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sio kila anayebreak up na wewe hakupendi,Ni mkatili,Hajali,Ni player,hana shukrani,au amekutumia kama brashi ya Kiwi halafu anakuacha na dawa nyeusi na kukusokomeza chini ya kitanda
Wengine wanaomba Break Up baada ya kujitathmini na kugundua kwamba wewe,ur too good for them na hawastahili hata kidogo kukumiliki,wanaacha mwenye stahili akupate.Sasa wengine wakiachwa wanaanza shombo,Mwanaume atakuwa Yule,Janaume halina shukrani nimelivumilia tangu liko Kapuku hadi leo linajua hata kuweka panga kwenye suruali!
Kama nimegundua una penzi 100% kwangu na mimi nna 20% kwako nifanyeje?80% yote nakunyonya wewe,nakuwa kama kupe,naamua kuwa mkweli kwa nafsi yangu tu,kwanini nikudanganye na kukupotezea muda nije nikudissapoint baadae wakati nimeshajua mapema,naamua kmuachia mwenye 100/100 aje akupe unachostahili
Je,kuna kosa hapo hadi muanze kubweka kama mbwa koko wa mjumbe kisa umetiwa konzi??

Hitimisho la post yako ni kuwa unabreak kwa kuwa humpendi kwa asilimia mia moja hivyo kutoa mwanya kwa kwenye mapenzi ya dhati.

Napendekeza heading yako ingekuwa hivi "Kila anyebreak ujue hajakupenda kwa asilimia nyingi"
 
True,ilinitokea 3yrz ago unfortunately ye hakunielewa but thanx God coz ndo mtarajiwa wangu now.

So asipokuelewa pia mh na we muelewe
 
Fo shoo... ila kuna miwatu king'ang'anizi ajabu... Unamwambie humpendi lakini bado kakomaa tu!
 
Ha ha ujue una utamu wa asali umempagawisha!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Fo shoo... ila kuna miwatu king'ang'anizi ajabu... Unamwambie humpendi lakini bado kakomaa tu!

Ni kweli kuna watu ving'ang'anizi, lakini pia hutegemea ahadi walizopeana na utayari wa kuanza mahusiano na mtu ambaye hawapendani. Ni vyema kutokukubali kuwa na mahusiano ya karibu sana na mtu ambaye humpendi. Salamu na kujuliana hali inatosha, vinginevyo utaiingia kwenye majanga!
 
Fo shoo... ila kuna miwatu king'ang'anizi ajabu... Unamwambie humpendi lakini bado kakomaa tu!

Teh teh wengine wanakuwa wamewalia vyao na miaka imekwenda alafu ndo unamwambia humpendi......hapo lazima atakung'ang'ania na kwa mtu mwingine atakuzingua kabisaaa.
 
Hilo nalo neno, kuingia kwenye mahusiano ambayo unajua hauko 100% ni kosa ila kuendelea kumtesa mtu ni kosa kubwa, cha kushanganza na ninajiuliza sana hivi kwa nini hamtoagi sababu za ukweli? nahisi kama ukiwa honest mtaachana kwa amani zaidi.
hakuna amani kwenye kuachana
 
Back
Top Bottom