Si kila anayekutongoza anakupenda

Si kila anayekutongoza anakupenda

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,662
Si kila anayekutongoza anakupenda nokuna mwingine alikutongoza tu kwa sababu ulikutana naye kwenye eneo ambao alihisi kuacha kuchukua no yako ya simu au kukutongoza ataonekana yeye ni boya au domo zege.. Kumbe hajawahi kuwaza kabisa kua na mtu wa aina yako ila ndio hivyo anakutongoza na amekutongoza..

Kwa kua anajijua alivyo smart ana kazi nzuri na ana gari nzuri ana matumaini yote lazima utampokea tu na kumkubalia
Hata ukitaka kumjaribu kwa kumwomba pesa he will pretend atakutumia tu kwa sababu anatambua kua anahitaji kuigiza anakupenda na amekolea
Nia ni kutimiza dhamira yake ya kusex na wewe..

Siku utakayo mvulia chupi tu
Ndio siku itakayo kua ya kuanza mambo yafuatayo
-Kuchelewa kujibu sms
--Kutokukutafuta kabisa kwenye simu
--Kukuambia yupo busy sana hivyo hawezi kukutafuta
--ndio utakapokua unapenda ila huoni kama kuna mtu anakupenda
Na kwa wakati wote siyo kwamba ameacha mambo ya mapenzi no mapenzi kwa wanaume ni maisha ya kila siku hii hali unayoiona wewe ni jibu tosha tu kua alikutongoza kwa bahati mbaya na siyo kwa dhamira ya kwamba hata uweje lazima atakua na wewe hadi milele..

Unapohangaika kumfanya ajibu sms na kukupigia huo huo wakati anachat na mtu mwingine mpya tena wanayegeza na wana furahi balaa wana ubusy hakuna hata nukta...

Utashagaa kuna siku atakapotaka kubalidisha mboga anaanza kwa kukutupia lawama "we mwanamke upo" hata hunijari"ndio nini sasa kimya "mi nahamu bwana na wewe uko wapi" jua anataka tu kubadilisha laza ya mapenzi na wewe ila hana lengo la kufika popote na wewe

.. Dia binti yangu huyu mtu unaweza ukawa naye kwenye mahusioano ya namna hii hata miaka kumi lakini siyo kwamba anakupenda ila tu kwakua unamuvumilia hata huo ujinga wake wewe unaouna ni kawaida na anapotaka sex wewe upo tiari tu hujali... Basi akioa usilie wala kulalamika hukujua no ila mwenye makosa ni wewe
Upendo ni vitendo na siyo maneno ya nakupenda sana

Anayekupenda haruki hatua na wala hakubali apoteze muda juu yako utaona tu kila siku hatua za mapenzi zinasonga, kutoka kua wapenzi mpaka wachumba wa wazi na ndoa inafuata nje nje
.. Nimemaliza kama hujaelewa basi endelea kumvumilia unataka miaka ya mdomoni na mtu asiye na malengo na wewe
 
Changamoto IPO kwa wote yani me na ke. Chunga tu ukimwi usipate coz tunaongozwa na matamanio ya kimwili ,coz mapenz kwa sasa ni complicated xana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinguni mtapasikia kwa Gwajima nawaambia

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila hio pia ni necha yetu tuloumbwa nayo,
Ila hata nyie pia mna necha hio mnapotakaga kutupiga mizinga. Utasikia
"we mwaname upo" hata hunijali siku hizi"ndio nini sasa kimya chote hiko "mwenzio nmekumiss kweli dear, my nkwambie kitu?

Maendeleo hayana chama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila hio pia ni necha yetu tuloumbwa nayo,
Ila hata nyie pia mna necha hio mnapotakaga kutupiga mizinga. Utasikia
"we mwaname upo" hata hunijali siku hizi"ndio nini sasa kimya chote hiko "mwenzio nmekumiss kweli dear, my nkwambie kitu?

Maendeleo hayana chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikufate inbox nikutongoze ...nadhani papuchi/kibumbu chako hujakigawa hovyo hovyo so kitakuwa kitamu....meet me inbox
 
Back
Top Bottom