Si hitaji maswali, toa comments tu....

Increase of prolactin level in the body can cause that enlargement of men´s breast!!
 
Hilo si tatizo, shida ni hapo unapong'ang'ana kwenda hiyo beach kana kwamba huna tatizo!
Anajiamini na yeye haoni kama ni tatizo kwanini wewe uone kama ni tatizo angali unamuona ni mwanaume na ana tatizo la kiafya!!Angekuwa mwanamke ingekuwa habari nyingine!!
 
Nani kawaambia kwamba huyo ni mwanaume??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…