Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 5,880
- 10,401
ushaelewa kiutu uzimaVitendo gani? yani nije bila kujua nakuja kuona nini?
ushaelewa kiutu uzimaVitendo gani? yani nije bila kujua nakuja kuona nini?
Huwa ndiyo inakua hivyo, leo baada ya daku nilitaka nije kuwaletea yaliyojiriMadam wewe unauzoefu sana hasa kipindi hiki cha mvua yaafaa uliwe kabla na baada ya daku

ila nilijichokea sana nikalala 😂 😂Na wewe unayo ambayo hatuyajui, hebu funguka udugu wetu 😂nina cha kuendelea basii, nipo tu hapa kujifunza ambayo siyajui 🙃😎
Mwambie anijaribu, atahadithia hadi tik tok 😎Kwani amesema hawezi kupeleka moutoorr 😂 ?
Poleni jamani, hivi kwenye mfungo huwa hamdinyani au inaruhusiwa?Tupo kwenye mfungo jmn
Usiku wa cheo unatakiwa ukukute na leso pembeni daah madamHuwa ndiyo inakua hivyo, leo baada ya daku nilitaka nije kuwaletea yaliyojiriila nilijichokea sana nikalala 😂 😂
Karibu pm plzHapo umeanza kuja kuja 🤔
Naomba nisikie kutoka kwako kwanza ili nipime kina kama naweza kuogelea ama laWe una shingapi hapo?
Zinaweza kuharibu miundombinu humo ndani japokuwa najua kuna wataalam wanaweza kufanya hvy bila kuleta madharaKucha ndefu zina shida gani kwani?
Mie Betina mwaya, nimenyooka kama fimbo ya mmasai, kama ulikua unawaza nina minyama, basi ishia hapo hapo tu!Tunaomba tuone picha yako hata nusu kwenda chini ili tuwe engaged na mada sio tunawaza na kuwazua kumbe betina
Haya changamka kijana, na hivi kesho hakuna kazi, utatumika kisawa sawa!Tatzo lako upo serious sana.
Kumbe Upo Arusha na hausemi Me nipo Kamandolu ngoja nichangamke.
Pole Enzo, vipi hujaji-Mbaga kujituliza 😂Sina neno mama watoto kaenda kwao kenya dah nimemisi sana midinyano walaqhi 😄😁😄😃 imetimia wiki tu naona sielewi mambo
Kwamba, atataka ausimulie ulimwengu 😂 😂Mwambie anijaribu, atahadithia hadi tik tok 😎
Anakasogeza tu, anataka kama hataki 😂Usiku wa cheo unatakiwa ukukute na leso pembeni daah madam
Si ndio, tuko nje ya muda 💃🏽Umeamua kufunguka mambo yasiwe mengi 😂
Kitu ambacho naonaga jau ni kukwea mnazi sipati raha kama ile iliyopo pale kati nammisi sana mke wanguPole Enzo, vipi hujaji-Mbaga kujituliza 😂
Emb mambo yasiwe mengi madam nina laki tano yako hapa nisindikize zanzibari 😋Anakasogeza tu, anataka kama hataki 😂