verify
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 1,311
- 3,139
Ndomana unanikoshaga 🥰Mambo zangu kabisaa😋🥰
Ndomana unanikoshaga 🥰Mambo zangu kabisaa😋🥰
Woohoo 😍💃🏽Ndomana unanikoshaga 🥰
Ngoja nimalize uchunguzi halafu nitakwambia nimekaa muda ganiWe unaweza kukaa kwa muda gani?
Wewe hutaki kabisa kusikiaMkuu unakuta kuna watu wanaweza.kaa zaidi ya week tatu aisee bila kufanya
Unataka kujua mambo gani kwenye huo uchunguzi?Ngoja nimalize uchunguzi halafu nitakwambia nimekaa muda gani
Si ndo nijue nina uwezo wa kukaa muda ganiUnataka kujua mambo gani kwenye huo uchunguzi?
Nilijua una mambo mengine pia unataka kuchunguza!Si ndo nijue nina uwezo wa kukaa muda gani
HapanaNilijua una mambo mengine pia unataka kuchunguza!
Kizuri nimekipenda, nitatunza namba yako, nitakapokihitaji nitakutafuta!Nauza kitanda kizuri sana cha kumaliza hamu, ni mninga super hakipigi kelele utatumia wewe hadi vitukuu vyako kwa 550,00/= tu
+255 616941241 karibuni sana wakuu
Karibu sana madamKizuri nimekipenda, nitatunza namba yako, nitakapokihitaji nitakutafuta!
Hakuna mtu wa namna hiyoWewe hutaki kabisa kusikia
Hivi hizi heka heka huwa unazipataje, unawavutia nini hawa mashangazi mpaka wanakufuata?Daaah aiseee mpaka nachokaga an napitia mengi sana sana aiseee
"Kupunguza vitu vizito mwilini" ndiyo kufanya nini?Binti wa zamani na Seran kuna hawa mabinti unamleta geto ile unaaga unaenda kununua maji unakuta ameshapunguza vitu vizito mwilini hawa sasa dhambi zao wapewe wamasai
Zile nguo nguo mara kavaa baibui unakuta katoa tayari kurahisisha kazi"Kupunguza vitu vizito mwilini" ndiyo kufanya nini?
Anakurahisishia kazi, hataki mambo yawe mengi 😌Zile nguo nguo mara kavaa baibui unakuta katoa tayari kurahisisha kazi
Hahahahaaa kwani huwa inatakiwa ukomae na vitu vyako vizito mpaka jamaa arudi? Hebu tueleweshe kwanza hapo😖Binti wa zamani na Seran kuna hawa mabinti unamleta geto ile unaaga unaenda kununua maji unakuta ameshapunguza vitu vizito mwilini hawa sasa dhambi zao wapewe wamasai
Kujiongeza ni muhimu ilitakiwa acute ushajizea kidogo sema kuna mwingine hupenda avutwe vutwe kidogo ndo atoeHahahahaaa kwani huwa inatakiwa ukomae na vitu vyako vizito mpaka jamaa arudi? Hebu tueleweshe kwanza hapo😖