sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Wakuu huyu mwanasiasa shy-rose bhanji naona amekuwa akijitangaza sana kwenye mitandao ya kijamii hivi ana agenda gani? Bado ana ndoto za kutuongoza watanzania? Kwa nini anavaa mavazi yasiyo na staha kama kweli anataka kuwa kiongozi wetu ? Naomba maoni
Kwa kuwa CTU mmezowea kuongozwa na wanawake basi Jaffarai naye aongozwe na ShyroseAmeshindwa kumuongoza Jaffarai ataweza kutuongoza watanzania, Kinocrain sie wajanja.
kujitangaza si tatizo.watanzania tuache majungu,tuache kutafuta mbinu za kuchafuana kila siku.....jf deserves better than this!
mpitishe awe kiongozi ili nae anunuliwe suti.
well said, i wonder the how can tony use will smith's avatarkwa kuwa ctu mmezowea kuongozwa na wanawake basi jaffarai naye aongozwe na shyrosesasa rijali nani?mbona jack bauer hakubali kuongozwa na mwanamke?no wonder kila siku kuna leaks huko kwenu
well said, i wonder how can tony use will smith's avatarkwa kuwa ctu mmezowea kuongozwa na wanawake basi jaffarai naye aongozwe na shyrosesasa rijali nani?mbona jack bauer hakubali kuongozwa na mwanamke?no wonder kila siku kuna leaks huko kwenu