Hivi wewe mtoto shy- rose hayo mapepe yako yatakwisha lini? maana nakumbuka wakati upo lake Se wewe kichwa chako kilikuwa bado kutulia, ulipo kuwa na huyo Mr.DJ, pia uwanja wa siasa sio wako, maana kwa watu wanao kujua wewe sio mtu wa kuweza kujenga hoja hasa, ukizingatia ubunge ni kuwakilisha masalahi ya watu bungeni, kutunga sheria, kupitia miswaada na kuitolea maaamuzi , Lake tulishindwa hata kukupa ukiranja sasa itakuwa hili jukumu kubwa la ubunge? ushauri wangu wewe endeleana masuala mengine maana ukilazimisha ubunge siri zako nyingi zitafichuka, mimi na kutakia mema pia huku kwetu CHADEMA hakuna nafasi yako,maana tunahitaji watu makini na siyo watu wa wenge- wenge.