Shule zinapojitangaza

odinyo

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
429
109
Hivi karibuni matokeo ya shule kidato cha nne yametangazwa na shule ya Kaizerege kuongoza kwa mara ya tatu mfululuzo. Hongera Shule ya Kaizerege.

Cha kustaajabisha ni kwamba magazeti mengi ya leo tar 22 Feb 2016 yana vichwa vya habari shule ya Tusiime yafaulisha wanafunzi wote, nk nk
nimeamini kibaya hujitangaza maana kwanini haya yote yasiwe juma lililopita wakati matokeo yametoka na iwe baada ya juma?

Wazazi tuwe makini na hizo shule kama zinanunua magazeti je watoto wetu wana ubora wa alama wanazopata? Au kuna michezo kwenye upataji alama hizo?
 
Biashara ni kutangaza lakini kupeleka mtoto ni uamuzi wako, nakumbuka miaka yetu enzi zile za pugu, rungwe, mzumbe na kadhalika zilikuwa pia zinatangazwa kwa hiyo sioni tofauti.
 
Back
Top Bottom