SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Jan 8, 2015 #1 Tunajengesha maabara kwa mikiki na mshike mshike... ila tungeanza na mambo ya msingi... Hili darasa gani? Kuna hata wazo la kuweka maabara katika mazingira haya?... Source: Mwananchi 07.01.2015
Tunajengesha maabara kwa mikiki na mshike mshike... ila tungeanza na mambo ya msingi... Hili darasa gani? Kuna hata wazo la kuweka maabara katika mazingira haya?... Source: Mwananchi 07.01.2015
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Jan 8, 2015 #2 Maabara zenyewe sijui zitapata wataalamu na vifaa vya kutosha!