Shule za vipaji kwa watoto Tanzania

Shule za vipaji kwa watoto Tanzania

Kukudume2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
1,659
Reaction score
739
Wadau nina vijana wangu wawili wakuiume miaka nane na mmoja minne nataka niwatafutie Shule ya kugundua vipaji vyao maana huyu mmoja anapenda. Kuimba imba,huyu mmoja anacheza mpira .je kwa Tanzania kuna Shule gani inafundisha au kukuza vipaji?
 
Tatizo serekale yetu inadhani vipaji ni kupata maksi za juu pekee yake tu kwenye masomo.Kumbe kuna vipaji tofautitofauti pia
 
Back
Top Bottom