Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,009
Walimu wote wazuri wamenda shule za private sasa hata kama shule zitafufuliwa ni ngumu kum handle mwalimu Tsh 400,000 wakati private 1.5milion ambayo anweza kuibana kidogo ila siyo sana
Kikubwa ni miundombinu iimarushwe na wachaguliwe watoto wanaojitambua na kujua nini wanatakiwa kufanya. Nina uhakika vijijini kuna watoto wengi wenye vipaji ambavyo vinaishia kufeli kwa sababu ya mazingiraWalimu wote wazuri wamenda shule za private sasa hata kama shule zitafufuliwa ni ngumu kum handle mwalimu Tsh 400,000 wakati private 1.5milion ambayo anweza kuibana kidogo ila siyo sana