Pole sana mkuu,lakini ndio nchi yetu hii,lakini mimi pia nilikuwa na tatizo kama lako nikahangaika sana google nikajikuta napata,nimejaribu kuambatanisha hapa but kama kutakuwa na matatizo ya ku download utasema ili nijaribu kuweka tena,hilo ni moja pili nilikuwa naomba mtu yoyote mwenye contacts za GALANOS HIGH SCHOOL ipo TANGA anisaidie,nahitaji no ya simu ya shule,au ya mkuu wa shule au hata nikipata no ya mwalimu yoyote wa shule hiyo itakuwa vizuri.