federicofernandez
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 578
- 392
KULIKO KUMPELEKA MTOTO SHULE YA KATA, AKIMALIZA LA SABA BORA UMPELEKE VETA AKASOMEE UMEME WA MAGARI
sometime logicYani mwanafunzi mwenyewe ndo anatakiwa ajitambue vyema. ni kwel ktk shule za kata kuna changamoto nyingi ila mwanafunzi akizielewa changamoto hizo hazitampa shida. Mfano shule niliyosoma mimi changamoto ilikuwa ni kwenye masomo ya sayansi especially physics na math ambacho tulikuwa tunafanya ni kuwafuata wanafunz wa shule jiran ambao walikuwa wapo vzr kweny masomo hayo then wanatupigisha + group discussion za mtaani ...mwisho wa siku tukatusua fresh
...shule za kata ni sawa na kuku wa kienyeji hufunguliwa saa 12 asubuhi ili akajitafutie mwenyen then akirudi jioni anakuwa ameshiba