Shule za kata, ni nani apewe sifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule za kata, ni nani apewe sifa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mohamedi Mtoi, Aug 13, 2012.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Zambi wakati ana changia bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amekimwagia sifa chama cha mapinduzi na serikali yake kwa kujenga shule nyingi za kata. Lakini wakati huohuo ameitaka serikali kupunguza au kuacha kuwachangisha wananchi fedha kwa ajili ya ujenzi wa mashule maana michango hiyo imekuwa kero kwa wananchi.

  Wanajamvi. Tujadili, ni nani anapaswa kupewa sifa kwa mchango wa ujenzi wa shule za kata?
   
 2. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Wananchi wapewe pongezi kwa kutoa fedha. Pia serikali ya CCM ilaumiwe kwa mipango mibovu imesababisha kuwepo kwa majengo bila vitabu, maabara, waalimu.
   
Loading...