Shule za kata na ukahaba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule za kata na ukahaba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by opportunist2012, May 24, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya wanafunzi wa shule za kata wajihusisha na vitendo vya ngono ili kujikimu kimaisha kutokana kuishi gheto.Taifa letu linaelekea wapi?Uhuru.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kama viongozi nao wanajikimu kwa kufanya ngono then what do u expect from wanafunzi?? yaani hakuna cha kushangaa hapo huo ndo mtindo wa maisha yetu and life goes on.....
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Haya mambo mengine nadhani ni tabia za watu tu. Kwanza wazazi na walezi ndio wanapaswa kuwa karibu na watoto wao wakiwasaidia kwa ukaribu ili wapate elimu bora. Serikali haiwezi kufanikishi huduma zote za kumwezesha mwanafunzi kupata elimu bora kwa wakati mmoja. Waalimu,maabara,maktaba nk. Haya yote ni misalaba ya serika.
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya ukahaba wapo wengine hata wakiwa nyumban wanafanya japo kuwa ukiangalia unaweza kusema kuwa waliopo geto ndio victim zaid. Mimi sioni kama tatizo la ngono ni la mwanafunzi wa geto tu bali ni wa aina yyte ile. Cha msingi ni kwamba maadili yameporomoka, nani wa kuonya? Mwalim imefika mahali wanashndwa kusema lolote manake ukisema hupati sapoti ya mzazi matokeo yake unafundisha darasana tu ya nidham unamwachia mtoto na mzazi wake,

  Lakini pia ikumbukwe ni ngumu sana kutenga kati ya nidhamu na academic excellency. Mara nyingi sana nidham nzuri kwa mwanafunzi humfanya akafaulu hvyo pia ni changamoto sana kwa ufaulu wa wanafunzi wa leo.
   
 5. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ndiyo madhara ya utandawazi, ni population nzima imeconcentrate kwenye ngono sio wanafunzi tu, wala sio suala la kujikimu. Hata wanandoa wapo bize kutafutana kwenye simu ukiona anaongea na simu meno nje, ujue anawasiliana na hawala yake.
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  MaRK THIS
   
 7. R

  Ramadhan Chasigwe Member

  #7
  Sep 27, 2014
  Joined: Aug 11, 2014
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani anajali...?!?
   
 8. tracy martins

  tracy martins JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2014
  Joined: Aug 5, 2014
  Messages: 3,559
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  hahahaaaaa
   
 9. Y

  Young Kibaka JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2014
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 320
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa hyo serikali unataka ikufanyie nini labda. unataka kila shule ya kata iwe bodin skul? wakat mwingine usianze na kiroba
   
 10. F

  Ford89 Senior Member

  #10
  Sep 27, 2014
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  we ndo umeanza na kiroba,yawezekana hata hujaelewa kilichozungumzwa....kwan mwenzako ameitaja serikal hapo?
   
 11. Y

  Young Kibaka JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2014
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 320
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  usiwe ndez wewe. hizo shule za kata ni za binafsi? misuba sio mizuri asbuh asbuh
   
 12. da muft hamisi

  da muft hamisi Senior Member

  #12
  Sep 27, 2014
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 105
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  aisee tunapoelekea ukahaba haukwepeki.....
   
Loading...