shule za kata hizi -ccm ilaaniwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shule za kata hizi -ccm ilaaniwe

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Smile, Apr 4, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Aliyezipigania kuzijenga ni el alivyoondoka kaziacha kama mwana mkiwa
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Smile ww ni mwanaccm mbona unailaani tena..au umeshajivua gamba
   
 4. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Smile Smile Smile! Umezipata wapi hizo answer sheets? Nimecheka na kulengwa machozi ya huzuni kwa wakati mmoja! Nadhani hatutakiwi kuilaani ccm kwa kila jambo. Wazazi pia wanahusika jamani. Hao wanafunzi walioandika hayo majibu si tu kuwa hawana akili/hawakufundishwa vizuri hayo masomo darasani, bali hawana nidhamu pia.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Smile, mbona huo mwandiko kama wa kwangu? Inakuwaje useme nilijibu isivyo wakati necta nilipasua division 3?
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  uliniona wapi?
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mtoto hajawai kumuona mwalimu toka ajiunge na shule unategemea ajibu nini?
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kumbe ilikuwa project yake nasikia atarudi tena ngoja tuone kama atazifufua
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mwandiko mzuri sana, tofauti kabisa na majibu!
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Nadhani huyu aliagizwa na wazazi wkae ajibu vibaya ili asichaguliwe kuendelea mbele maana inaonesha akili yaa kujibu anayo.
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Watoto wana akili walikosa msaada toka form one hajawai kumuona mwalimu
  Unategemea ajibu nini
  Heri wasingechaguliwa huko wazazi wao wajue pa kuwapeleka mapema
   
 12. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Lakini naona angalau kingereza anweza kuunda maneno
   
 13. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Smile kuwa mkweli hii umeipata wapi, ni kweli au..., umenivunja mbavu!!!!
   
 14. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hiyo miandiko inaonesha wamewahi kufundishwa walao wanajua kuandika. Nahisi tatizo ni bangi! Hao watoto hata nyumbani kwao hawana adabu. Kama mtu hujui jibu sahihi la kuandika si walao uache wazi? Usijibu chochote kuliko kuandika huo ujinga?
   
 15. G

  Galaticos Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  This is very possible. Kwani NECTA walishalisemea hili na kuwafutia matokeo walioandika matusi kwenye exam.
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Nadhani huyu alikua na tatizo binafsi sio shule za kata peke yake maana hichi kiinglishi ni kizuri tu kwa level yake hyuy alikua na lake jambo, unajua nasema hivyo kwasababu nimeshafundisha kwene hizi shule za kata, yaani ni vilio kama una akili utalwalilia sana watoto hawa, wanajifunza umalaya na ukahaba
   
Loading...