The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Shule hizo ndiyo siyo nzuri lakini kwa kiasi fulani zinasaidia, tatizo mimi nalo naliona kwa watoto wetu wa siku hizi kuwa hawajitumi na kupenda kusoma, wanataka spoon feeding na matanuzi kwa mbele.hizi shule anasoma watoto wa maskini na hawana nafasi kabisa katika uchumi wa nchi hii - na future yao ni giza totoro. Yaani kumpeleka mwanao katika shule hizi ni bora hata ubaki naye nyumbani umfundishe wewe mwenyewe.
Kukubali shule hizi ni kuIbaka elimu ya Tanzania - Ni bora mtoto amalize darasa la saba amfundishwe ufundi na ujasiriamali kuliko kupoteza miaka 4 kwenye shule za ajabu ajabu zisizo na viwango. Hizi shule ni matokeo ya siasa uchwara....
Hii sijawahi kuisikia aisee tehe tehe teheShule za kata bhanaa kuna mtoto alikuwa anachapwa na mwalimu wake, mwalimu alikuwa anamwambia SPEAK ENGLISH sasa akichapwa analia MAMA YANGU WEWE mwalimu akamchapa tena akamwambia Speak English mtoto akalia MATHER ME YOUU MATHER ME YOUU
Mkuu hizi shule hazisaidii chochote, nyingi hazina walimu... Watoto hata wakijitahidi vipi wanakosa mwongozo..mi naamin ziko kwaajili ya kuua elimu ya tz...we uliona wapi mtoto wa kiongozi, anasoma shule ya kata?Shule hizo ndiyo siyo nzuri lakini kwa kiasi fulani zinasaidia, tatizo mimi nalo naliona kwa watoto wetu wa siku hizi kuwa hawajitumi na kupenda kusoma, wanataka spoon feeding na matanuzi kwa mbele.
Hapana bwana,huyo kiingereza anajua alikuwa anafanya makusudi!Mimi nimesoma shule yenye jina kubwa wakati ule.Inaitwa............. AKA CAIGO. Na imetoa watu maarufu na hata raisi mmoja alisoma shule hii,hata hivyo kuna wengine du!! wee acha tu maana nilimkuta classmate wangu akijaribu kuelezea jambo fulani kama ifuatavyo.
You go this way you go you go you thereeeee at the cry side you will see a house of ambassador of house ten ten and drum far far being played there then you cross to the left hand you see a milk Nyasa.
Thanks.