Shule za Feza kufutwa?

Hapa Uturuki ikiahidi mahindi tanni kadhaa Feza zitafungwa.Karibu Recep Erdogan Tanznania mwenyeji apone...
 
Una uhakika?
 
Una uhakika?
Ni uhakika Gulen na Erdogan walikuwa marafiki kindaki ndaki wenye mtazamo mmoja na wenye harakati moja wamefight pamoja kwa muda ,best friends

Lakini 1999 waligombana sababu ya uongozi ,gulen akaenda zake pennynslavia kuishi na amejenga shule world wide

Huyu Erdogan anahisi Yale mapinduzi ameratibu huyu kisa tu wamekuwa maadui

Serikali isiingilie kati na wakimsikiliza Erdogan watakuwa wamefanyw uonevu mkubwa saana
 
Unawakumbuka "Boys II Men" wa hapa Tanzania na historia yao?
 
Kupindua ni ugomvi binafs
 
unaamini kabisa yalikuwa mapinduzi? Hebu pitia timeline uone kama ni kitu kinawezekana. Mi naona ilikuwa scripted for special reason....
marekani alikuwa kishamchoka endorgan,sema walizidiwa tu ujanja na wananchi hawakuunga mkono mapinduzi,badala yake wananchi wakaanza kuwatandika mijeledi wanajeshi,ilibidi wanajeshi wawe wapole kwani lengo ilikuwa kupindua kwa amani na sio kuua watu,
gullen anafadhiriwa na marekani,na kule marekani kuna mamia ya shule za gulen,na zinapaka ruzuku toka serikalini kujiendesha
 

Issue ni terms za mikataba itakayosainiwa na kwa kuzingatia Uturuki ndio yenye nguvu kifedha/ kiuchumi lazima kama Rais wao atashikilia Feza basi uwezekano wa Feza kuondoka ni mkubwa labda kama Tanzania ina negotiation power house ya nguvu.
 
Nadhani wizara ya mambo nje wameshatoa msimamo w serikali!! Pale kuna wabobezi wa masuala mazito kama hayo! Rais amekuja na yake hasa biashara kati uturuki na africa....pia ujenzi wa reli ya kati jamaa wako vzr sana wanataka tender zote ingawa wa chi wananuna......
 
mwigulu mtoto wake itabidi amhamishe toka pale, lakini kwasababu ile shule inawafaidisha sana watz kwa kutupatia elimu nzuri na kutoa ajira, Turkey watatupatia nini in exchange chenye faida kubwa kuliko ile shule? kama uhusiano tu wa kawaida bora uvunjike na shule ibaki kwasababu shule ina faida kwetu sana. pia, maamuzi yeyote tutakayoamua kuyachukua itabidi tujitathimini kwanza tusichafuke kimataifa na wawekezaji kuogopa kuja kwetu.
 
Looks like mainstream media's mind control games are in play here. U have memorized pretty much every word from their 'official' reports.

Tatizo ni umeelewa hayo maneno uliokunywa hapo juu?
 
The Coup attempts were dramatised for Erdogan's political reasons. Something fishy was going on behind these faked coup attempts.
 
Kama nchi hii ni yake zitafutwa lakini kama ni yetu hakuna kitu kama hicho?. Na hii ni challenge kwa uwezo wa wakuu wetu wa nchi.
 
Issue ni terms za mikataba itakayosainiwa na kwa kuzingatia Uturuki ndio yenye nguvu kifedha/ kiuchumi lazima kama Rais wao atashikilia Feza basi uwezekano wa Feza kuondoka ni mkubwa labda kama Tanzania ina negotiation power house ya nguvu.


Feza hazina elements za kigaidi, wala hazitoi mafunzo hayo, serikali kupitia waziri Mahiga ilisema wazi wazi, hakuna ushahidi hizo shule zina elements za kigaidi kama huyo Rais wa Uturuki anavyotaka kuaminisha watu... ukiacha shule hizo, je na hospital mbalimbali za Gullen nazo zinafanya ugaidi..? ni uongo mtupu, bahati nzuri serikali yetu ilishaweka msimamo wake madhubuti kuwa haziwezi zifunga...

Ww unaangalia Uturuki tu, kwa taarifa yako Gullen yuko U.S, na ni rafiki wa U.S, so hata assets zake ktk nchi kadhaa duniani, U.S itamsaidia, so U.S hawawezi acha rafiki yao ananyanyaswa kihuni na mwenzake... hilo kaa nalo vema, U.S is the most powerful, Uturuki kitu gani bana.. Huyu Rais wao anakosea sana..
 
Issue ni terms za mikataba itakayosainiwa na kwa kuzingatia Uturuki ndio yenye nguvu kifedha/ kiuchumi lazima kama Rais wao atashikilia Feza basi uwezekano wa Feza kuondoka ni mkubwa labda kama Tanzania ina negotiation power house ya nguvu.

FEZA zitapotezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…