mozambiqueone
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 232
- 119
Jamani wenye data hapo
Yes. Picha kubwa niliyokuwa nimeijenga ni hii: lazima kuna watu wanaosomesha watoto wao katika shule hizo humu. Hivyo nilitegemea mmoja atakuwa na nafuu ya hiyo million 10 nikaijua ni shule ipi, mwingine 3 hadi 1 na pengine laki 5 ili niseme sasa kwangu mimi kwa uwezo wangu wacha niingie hapa au pale, ndio mategemeo yangu. Sasa kwa kuwa wewe ndo mchangiaji wa kwanza nasema asante na niseme sasa kama zipo shule za Msingi English medium ambazo gharama zake ni kuanzia 2milion kushuka chini kwa mwaka mnitajie Tafadhali.huku kuna watu wenye uwezo tofauti KIfedha, mwingine milion 10 ndo bei nafu kwake, mwingine milion 5, 3, 2, n.k, binafsi ningekushauri ungesema uanataka shule ya bei gani? kwa nilipo zipo hadi za laki tano(day)
Kabisa mkuu, wengine tunatafuta 10,000 za uniform wakati wengine hii ni pocket money ya mtoto kila siku.huku kuna watu wenye uwezo tofauti KIfedha, mwingine milion 10 ndo bei nafu kwake, mwingine milion 5, 3, 2, n.k, binafsi ningekushauri ungesema uanataka shule ya bei gani? kwa nilipo zipo hadi za laki tano(day)
Wewe pale ni milini 20 kwa mwaka.Labda ucheki braeburn school
Kumbe watanzania bado wana pesa shule ya 2,000,000 ambao kwetu ni budget ya familia zima kwamwaka. JMP bado hajafanya kaziLabda ucheki braeburn school
Kubwa ni kuishi katika uhalisia wako, huna haja ya kujiumiza kufanana na watu. Wanasema muda huo haupo maisha ndio hayo unayoishi, ishi kwa uhalisiaKabisa mkuu, wengine tunatafuta 10,000 za uniform wakati wengine hii ni pocket money ya mtoto kila siku.
Nimetaja nikitegemea nitatajiwa hadi gharama ndogo ya mwisho. Hali ni ngumu Mulwanaka. Magufuli asibane zaidi tutaumia mnoKumbe watanzania bado wana pesa shule ya 2,000,000 ambao kwetu ni budget ya familia zima kwamwaka. JMP bado hajafanya kazi
Unaweza kuwa na detail za ada yao pleaseLabda ucheki braeburn school