Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,442
- 104,092
Umenikumbusha mbali mkuu. Father Kalumanzira au Fr. Gabriel, Shewere alikuwa mwalimu Kazima Sekondari. Kwa sasa sijui wako wapi? Siku ziiiileeee.... kama naziona hivi!Mie nilimaliza hapo 1983 combination ya French . Nilikuwa Kennedy no. 10. Nakumbukia Sana maembe ya kule mawiti. Maji tulikuwa tunachota Bwawa la igombe. Nakumbukia father kalumanzira wa parokia ya makokola. Classmates ninaowakumbuka ni kama Shewere, Ben Mwangonda, Felix Lubuva, Revocatus Msokane, Julius Mganga , Philip assey n.k. Mkuu alikuwa ni Mr. Msemakweli.
Ni Headmaster Ikongoro Sec School. Ipo Wilaya ya Uyui.Umenikumbusha mbali mkuu. Father Kalumanzira au Fr. Gabriel, Shewere alikuwa mwalimu Kazima Sekondari. Kwa sasa sijui wako wapi? Siku ziiiileeee.... kama naziona hivi!
Fr. Gabriel amerudi kwao Uingereza.Umenikumbusha mbali mkuu. Father Kalumanzira au Fr. Gabriel, Shewere alikuwa mwalimu Kazima Sekondari. Kwa sasa sijui wako wapi? Siku ziiiileeee.... kama naziona hivi!
Fr. Gabriel amerudi kwao Uingereza.Umenikumbusha mbali mkuu. Father Kalumanzira au Fr. Gabriel, Shewere alikuwa mwalimu Kazima Sekondari. Kwa sasa sijui wako wapi? Siku ziiiileeee.... kama naziona hivi!
Shule ya Wanaume Milambo"Milambo wanaume" ikijulikana hivyo miaka ya 90' sijui bado wanajiita hivyo!!?
Sasa mwaka huu Bi faiza Foxy ndio amemaliza shahada ya kwanzaWee Mzee kuliko wote humu
Siku sensa ikipita humu utaamini
Shule ya Wanaume Milambo
Vs
Shule ya Wavulana Tabora (Tabora Boys)
Enzi Hizo 🙂🙂🙂
Tulikuwa pamoja wewe sokoine 4, apa amani pale underson muda wote ngumi tu HahahahahahaDaah ss tulikua hapo 2009/2011 pgm sokoine room no4
Wewe kumbe class mate wangu hapo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Daah ss tulikua hapo 2009/2011 pgm sokoine room no4
Msangi bado yupoooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nmemaliza apo 2012, maji kwa muda uo tulikuwa tunachota kachelema, maisha matamu sana apo kwa pola na nyali ya mzee msangi
Nimeipenda sana hii ukizingatia nimesomea Uyui na nimeishi Ng'ambo huko tulifuata materials.Hongereni mliosoma Shule kongwe kama Milambo inayoshabihiana na jina LA timu maarufu sana huko Ally Hassan MwinyiNipo hapa nyumbani naendelea kuisogeza siku hii ya tarehe 01.01.2017.
Ghafla nikaikumbuka shule hii ya sekondari Milambo iliyopo mjini Tabora,takribani kilomita 2 tu toka kituo kikuu cha mabasi Tabora,na ipo njiani kama unaelekea Urambo,nyumbani kwa marehemu Mh. Samweli Sitta (Mungu amrehemu). Shule hii pia alisoma Mh Edward Ngoyai Lowasa, Waziri Mkuu Mstaafu wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Shule hii haina uzio (kwa sababu ni ya wanaume),na ipo karibu kabisa na mtaa maarufu Tabora uitwao Chemchemu.
Kando ya hiyo shule kuna canteen maarufu sana kwa ajili ya kununulia appetizer au chachandu umapotaka kulia NYALI au POLA.
Ni shule yenye mabweni matatu,mm nilikaa bweni la SOKOINE,floor ya kwanza.
Maji ya ile shule ni ya chumvi sana kiasi cha kuwafanya wanafunzi waende kuchota maji ya kunywa parokiani.
Nyuma ya shule upo uwanja mzuri sana wa mpira.
Waalimu ninaoweza kuwakumbuka n:-
1. Mwl Katondolaa (Marehemu)
2. Mwl Jubwa (Headmaster)
3. Mwl Zoma ( kwa fito balaa)
Nakimbuka pia kuna "Conco room",vyumba ambavyo wanafunzi hupenda kujifungia kama gheto kwa ajili ya kujisomea (hasa viongozi).
Ambavyo sitavisahau:
1. Sikuwahi kuitwa jina kwa miaka miwili
2. T-shirt zake zilikuwa kama blauzi. (ukivaa inasogea kifuani)
3. Foleni siku za nyali au ngema kwa nyama
4. Utamu wa pola (uji).
Milambo acha tu iitwe Milambo
Usifananishe tabora boys na mirambo ni vitu viwili tofauti, kwanza katika malengo ya watu wanachokifuataIla madogo wa Tabora Boys huwa wanawakimbiza sana kitaaluma.
Tatizo nini wazee?Hata Tabora Girls tu wanawashinda jamani
Mtaalamu wa nyali na ngema yule, ukiwa likizo unaumiss msosi wa miramboMsangi bado yupoooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
usinikumbushe enzi za fupa, dadadeki, tulimng'oa mwaka 1994 na mwalimu Mabuye akaja kuwa mwalimu mkuu akitokea kazima, RIP mwalimu Mabuye, mwanakondoo nadhani unamsema mwalimu Mwilu ndio alikuwa mwalimu wa kifaransa, mwalimu Njile yupo Kaliua shule 1 ya kata huko,Enzi zeta tulikuwa na FUPA (Msemakweli) kama Headmaster akisaidiwa na MWANAKONDOO (sikumbuki jinale ila alikuwa mwalimu French. Mzee wa Fito alikuwa SIR Njile ( mwalimu pekee aliyeitwa SIR)