nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,437
- 861
- Thread starter
- #21
Kkkk
Punguza munkari mkuu kama wamekunyoa kichwa karibu ikwiriri tuendeleze kilimo cha jembe la mkono!Hao madokta na maprofesa wenye vyeo na kupata distinguish wameifanyia nini nchi hii,uwakili siyo kufaulu mitihani mzee ni kuichambua sheria na zinabadilika kila siku,je zinapobadilika sheria mawakili wanarudi darasani au wanapewa mitihani tena kwa sheria mpua,mbuzi,mtelemko kwani wanasoma bure?
Hayo ndio mawazo mgando na utoto wa vyuo hakuna chuo wanafaulisha tu ili mradi kila chuo wanafanya mitihani. Suala LA hongo lipo vyuo vyote hata udsm lipo.Mkuu nikueleweashe kidogo. Shule ya sheria ya UDSM km inavyojulikana inaongozwa na watalaamu kutok a pale UDSM hivyo hata systems za ufundishaji na ufanyaji mitihani ni wa UDSM. Vijana waliosomea sheria vyuo vingine vya kibiashara ambavyo wanaangalia pesa na sio uwezo wa mtu darasani wakifika pale shule ya sheria huwa lazima wafeli kwani wamezoea kusoma kwa mazoea na kufaulu mitihani. Pale UDSM bila kusoma na kuelewa huwezi kufaulu mitihani hata ukiwa ni nani.
Siyo kweli kwamba kila graduate ambaye hakutokea UDSM hufeli LAW SCHOOL.Mkuu nikueleweashe kidogo. Shule ya sheria ya UDSM km inavyojulikana inaongozwa na watalaamu kutok a pale UDSM hivyo hata systems za ufundishaji na ufanyaji mitihani ni wa UDSM. Vijana waliosomea sheria vyuo vingine vya kibiashara ambavyo wanaangalia pesa na sio uwezo wa mtu darasani wakifika pale shule ya sheria huwa lazima wafeli kwani wamezoea kusoma kwa mazoea na kufaulu mitihani. Pale UDSM bila kusoma na kuelewa huwezi kufaulu mitihani hata ukiwa ni nani.
Ni haki kwa sababu:Hilo la kudisco liangaliwe upya kama mtu hajafikisha wasitani ni bora arudie tu hadi atakapofaulu siyo anadisco halafu anarudia darasa tena huku akilipa ada [HASHTAG]#6mln[/HASHTAG] hiyo ni haki kweli?
Hao madokta na maprofesa wenye vyeo na kupata distinguish wameifanyia nini nchi hii,uwakili siyo kufaulu mitihani mzee ni kuichambua sheria na zinabadilika kila siku,je zinapobadilika sheria mawakili wanarudi darasani au wanapewa mitihani tena kwa sheria mpua,mbuzi,mtelemko kwani wanasoma bure?