Shule ya sekondari walu ul wasr kibaha

Shule ya sekondari walu ul wasr kibaha

solidgirl

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
33
Reaction score
18
Habarini wana jamvi. Natarajia kumpeleka kijana wangu wa kiume kuanza kidato cha kwanza utakapoanza mwaka 2017 lakini naomba mchango kuhusu shule hii kwa walio na uzoefu nao najua ni shule ya dini na matokeo ya necta nimejaribu kuangalia kidogo. Nahitaji mchango kwa waliopitapita hapo nachelea kuwa pesa yangu isije potea bure wakati nina uhuru wa kwenda mahala pengine. Karibu mchangie
 
Mpeleke Helens secondary school.
Ipo mpiji magoe.
Hutojutia akamwe.

By the way hakuna kijana wa kiume.
Kijana = M
Binti = F
 
Mpeleke umoja sec school igunga..sema wana kamtihan ka kumpima kabla ya kuingia
 
Habarini wana jamvi. Natarajia kumpeleka kijana wangu wa kiume kuanza kidato cha kwanza utakapoanza mwaka 2017 lakini naomba mchango kuhusu shule hii kwa walio na uzoefu nao najua ni shule ya dini na matokeo ya necta nimejaribu kuangalia kidogo. Nahitaji mchango kwa waliopitapita hapo nachelea kuwa pesa yangu isije potea bure wakati nina uhuru wa kwenda mahala pengine. Karibu mchangie
Kama mzazi,jiridhishe wewe mwenyewe kabla hujampeleka mwanao shule Fulani. Kama una mashaka au taarifa za shule haziko wazi, tafuta shule nyingine.
 
Mimi nimefundisha pale kabla sijaachana na kazi ya ualimu. Hio shule inamilikiwa na Taasisi ya WIPAHS chini ya mzee Sahib na mwanae ambae ni msomizuri tu. Kama utampeleka mwanao pale nakuhakikishia atakua katika mikono salama spiritually and academically. Kwa sasa sijui kuhusu ufaulu wao kitaifa ila wakati niko pale walikua na ifaulu wa kawaida.
 
Habarini wana jamvi. Natarajia kumpeleka kijana wangu wa kiume kuanza kidato cha kwanza utakapoanza mwaka 2017 lakini naomba mchango kuhusu shule hii kwa walio na uzoefu nao najua ni shule ya dini na matokeo ya necta nimejaribu kuangalia kidogo. Nahitaji mchango kwa waliopitapita hapo nachelea kuwa pesa yangu isije potea bure wakati nina uhuru wa kwenda mahala pengine. Karibu mchangie
Usithubutu!! Ile shule iko hovyo sana kitaaluma. Labda kama unataka akajifunze dini.
 
Habarini wana jamvi. Natarajia kumpeleka kijana wangu wa kiume kuanza kidato cha kwanza utakapoanza mwaka 2017 lakini naomba mchango kuhusu shule hii kwa walio na uzoefu nao najua ni shule ya dini na matokeo ya necta nimejaribu kuangalia kidogo. Nahitaji mchango kwa waliopitapita hapo nachelea kuwa pesa yangu isije potea bure wakati nina uhuru wa kwenda mahala pengine. Karibu mchangie
Mpeleke shule zinazojulikana. Hiyo shule japo ni ya kidini lakini bado ipo chini sana kitaaluma, pia nafikiri bado wanajipanga.
 
Hiyo shule usimpeleke tena plz usimpeleke!!
Hiyo shule inamilikiwa na (shia) tens hapo wanaitikadi mbaya sana
mpele shule za the Islamic foundation wanazingatia zaidi taaluma na madili au mpeleke shule za IPC kama ubungo Islamic, Kirinjiko, nyasaka au mpeleke shule za nurdin kishki (Al hikma) pia ziko vzr sana
 
Back
Top Bottom