Mdomomrefu
Member
- Jan 26, 2022
- 19
- 17
Huko nyuma iliitwa Mtwango Middle School nadhani ilikuwa mali ya serikali ya kikoloni au mission, wakaja NDDT wakaichukua, nadhani baadaye nao wameshindwa kuiendeshaHiyo shule kabla ya kuchukuliwa ilikuwa / ni mali ya nani?
Hapo si ndio alisoma Greyson Msigwa?Habari watanzania wenzangu, poleni na mahangaiko ya dunia hii.
Mnamo trh 12.8.2021 Afisa wa elimu Wilaya ya Njombe Vijijini ndugu Mbwana Ndumbalu alifika shuleni Mtwango sekondari huku akiongozana na chombo cha dola, alifika na kudai kuwa shule imeshindwa kujiendesha bila ya watumishi hao kukubali kuwa wameshindwa kuiendesha hivyo alidai kuwa inachukuliwa na Serikali...
GOOD! Mmiliki wa mwanzo ni nani?? Nchi hii bhna kila utawala una wafalme wajinga wake. Usijekuta shule inachukuliwa na kusajiliwa mali ya huyo Afisa elimu.Hiyo shule kabla ya kuchukuliwa ilikuwa / ni mali ya nani?
Ililikua Ni ya shirika la NDDTHiyo shule kabla ya kuchukuliwa ilikuwa / ni mali ya nani?
Ilikua Ni Mali ya shirika la NDDTGOOD! Mmiliki wa mwanzo ni nani?? Nchi hii bhna kila utawala una wafalme wajinga wake. Usijekuta shule inachukuliwa na kusajiliwa mali ya huyo Afisa elimu.
Sawa mkuuHata kama wewe ni Mdomomrefu! au una Mdomomrefu , lakini bado ulitakiwa uilete hii taarifa kwa usahihi na utulivu mkubwa.
Kiukweli umeileta ukiwa una haraka sana. Tulia, relax! Lete taarifa kamili. Maana kuna jamaa yangu alipitia hapo miaka mingi iliyopita, na wakati inafanya vizuri. Alikuwa anaisifia sana hiyo shule.
NdiyoHapo si ndio alisoma Greyson Msigwa?
Mbunda d tulipenda kumwita mdomo wa denda naye aliwapumbusha Sana mabinti paleZama za Mr mbunda zilikwisha alishandwa kuendesha shule. Kijiti alipokea Mbunda D
Mbunda D aliachiwa kijiti hivyo ilibiidi abadilike na ndialiye ifikisha Hadi leo na alilipa madeni mengi aliyo yaacha Mr mbundaMbunda d tulipenda kumwita mdomo wa denda naye aliwapumbusha Sana mabinti pale
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndio huyu mleta madaMbunda d tulipenda kumwita mdomo wa denda naye aliwapumbusha Sana mabinti pale
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Imetoa wengi Hadi wasanii akawemo marlawGerson Msigwa ambaye ni Msemaji mkuu wa serikali alisoma hapo.
Ngoja tuone!