Matukuta Jr
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 207
- 27
Mulugo...!? huyo ndo kaharibu...!
Huyu Mulugo anatuharibia sifa ya shule yetu, pambafy !! Mliosoma hapo tukumbushane waalimu: Mbawala, Mwakamele (duh kabla ya kuokoka jamaa huyu alikuwa anapiga bakora kama mwehu...sura yake na wasirra sijui nani zaidi ), Mpesya (duh huyu kalamba sana wanafunzi ofisini, vyooni ect), Mama Sombrero, duh yule mwalimu wa hesabu alikuwa na mzuzu, na yule mwingine kamwili kadogo lkn namba zinashuka sana na ana kiburi nimesahau jina, ....duh tumetoka mbali jamani. Yule headmaster gwiji, chain smoker na asiyeongea na mtu hata mwezi mzima... ha ha
M 23 ndiyo nani tena ?
Kuna kijana mmoja humu jf. Alikuwa mgombea ubunge jimbo flan mbeya huko kupitia cdm. Akasaliti chama, akafukuzwa na sasa anafanya kazi lumumba chini ya payrol ya "nepi" na "n'chemba".
Duh...ngoja nitamfuatilia....basi noma sana huyo kuendekeza njaa...
Kaharibu nini huyu!
Mkuu naona ulikuwepo hapo miaka ambayo na mimi nilisoma, hao waalimu uliowataja duu. Yule headmaster unamaanisha Nisajile nini? Aliyekuwa anashusha sana namba wakati huo na mwenye mzuzu alikuwa anaitwa Gwasa, Mama Sombrero - Manyama, Mbawala - second master Mwalimu wa English alikuwa anatumia sana ndizi choma na maparachichi ya pale Mbogoso sijui kama bado ipo Mbogoso! Mwl. wa nidhamu Mwakamele kwa miaka minne niliyokuwepo Mbeya Day nilimuona mara moja tu akiwa hajavaa koti la suti na wanafunzi wengi sana walitoka madarasani kumuangalia alivyokuwa anaonekana. Angekuwa ni Mtu wa Musoma lazima angekuwa ni ndugu na Wasira haah haaa!!Huyu Mulugo anatuharibia sifa ya shule yetu, pambafy !! Mliosoma hapo tukumbushane waalimu: Mbawala, Mwakamele (duh kabla ya kuokoka jamaa huyu alikuwa anapiga bakora kama mwehu...sura yake na wasirra sijui nani zaidi ), Mpesya (duh huyu kalamba sana wanafunzi ofisini, vyooni ect), Mama Sombrero, duh yule mwalimu wa hesabu alikuwa na mzuzu, na yule mwingine kamwili kadogo lkn namba zinashuka sana na ana kiburi nimesahau jina, ....duh tumetoka mbali jamani. Yule headmaster gwiji, chain smoker na asiyeongea na mtu hata mwezi mzima... ha ha
Wakuu mbona naskia Swilla sec ndiyo the best school in Mbeya? Au mi ndo nimechanganya mafile kichwani.
Ha ha ha ha nimesoma pale Head Master akiwa S.P Shauri. Sijajuta kusoma pale
Mkuu naona ulikuwepo hapo miaka ambayo na mimi nilisoma, hao waalimu uliowataja duu. Yule headmaster unamaanisha Nisajile nini? Aliyekuwa anashusha sana namba wakati huo na mwenye mzuzu alikuwa anaitwa Gwasa, Mama Sombrero - Manyama, Mbawala - second master Mwalimu wa English alikuwa anatumia sana ndizi choma na maparachichi ya pale Mbogoso sijui kama bado ipo Mbogoso! Mwl. wa nidhamu Mwakamele kwa miaka minne niliyokuwepo Mbeya Day nilimuona mara moja tu akiwa hajavaa koti la suti na wanafunzi wengi sana walitoka madarasani kumuangalia alivyokuwa anaonekana. Angekuwa ni Mtu wa Musoma lazima angekuwa ni ndugu na Wasira haah haaa!!