Shule ya Sekondari Inauzwa

Unahofia wazazi kuhamisha watoto wao, na walimu je, hawatakuwa na hofu kibarua kuota nyasi, ama na wao wanauzwa bila kujua!
Shule za kanisa, zamani zilitaifishwa na serikali, sasa cjui ikoje kwa shule binafsi mpaka mmiliki anaamua kuuza maana yake kashindwa kuendeleza.
 
Buashara ya shule utafanikiwa kama matokeo ni mazuri. Ukifanikiwa kutoa div I na II za heshima, wateja utawakimbia.

Tatizo linakuwa ni jinsi gani utafikia lengo hilo.
Umenena vyema madam.
Karibu sana.
 
Nisiogope kutaja dau langu
1bil naanza na 20mil niachwe niendeshe 1 yrs second payment 50mil inalipa 5yrs.
Mwanaume hutetemeki unapoomba kitu roho inataka bwana
Hongera kwa ujasiri, na huo ndiyo uanaume. Hua hatuogopi kusema neno roho inapotaka.
 
Mwambieni Bashite amwambie boss wake tamisemi wainunue ili na yeye aache kumbukumbu
 

Hii ni biashara nzuri, ila ninawasiwasi kidogo kwenye vitu ulivyoonesha kuwa pia vinauzwa, na kwa sababu hiyo naona vikiondolewa kama mtu havitaki, basi dau linaweza pungua.

Inamaana kwenye hiyo bei utauza pia wanafunzi, waalimu na wafanyakazi wengine?
Je wao pia wamekubali kuuzwa?
 
Nataka niibadili iwe kambi ya vijana watokao vyuoni na kusaka ajira. Je, bei itabaki ile ile, nazungumzia, kuuziwa majengo tu bila raslimali watu?
 
Mkuu hiyo ni bei ya kuiuza shule kama taasisi nzima na mali zake. Kinachoweza kupungua hapo na bei ikapungua ni eneo la ekari zilizo katika umiliki ndani ya hii taasisi. Vingine haiwezekani.
Karibu saana mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…