Twaps
Member
- May 26, 2011
- 50
- 28
Waungwana nina binti yangu kamaliza kidato cha nne mwaka jana 2016,kafaulu vizuri masomo ya sayansi.
Nimeona nijiongeze tu kumpeleka shule ya private kwaajili ya form five.
Nilijitahidi mwezi uliopita kufuatilia marian girls na kandoto girls nikaambiwa walishaanza masomo mwezi wa tatu,sasa nimebaki dillema,sijui shule nyingine nzuri ambayo naweza mpeleka kwa kipindi hiki.
Naomba ushauri na msaada wenu.